Posts

Showing posts from February, 2018

HIV /AIDS HEALING PRAYER

Image
A Prayer of Healing for People Diagnosed with HIV and AIDS Scripture Reading :📚📚📚 Psalm 104:1-24 , Luke 17:11-19 Reflections of the Heart: Jesus is the same today, yesterday, and forever! In Mark 16:17-18 ( NLT ), Jesus said, “These signs will accompany those who believe: They will cast out demons in my name, and they will speak new languages. They will be able to handle snakes with safety, and if they drink anything poisonous, it won’t hurt them. They will be able to place their hands on the sick and heal them.” Therefore, as believers, let us do what Jesus did! Scriptural Prayer :🔊🔊🔊🔊 Our Father, with our whole hearts, we give thanks to You. Thank You for being a God of hope and promise. Lord, thank You for sending Your Word to heal us. Thank You for providing healing through the blood of Your Son, Jesus Christ, our Lord. Lord, You are great and most worthy of praise! No one can measure Your gr...

AGENDA YA UFALME

Image
USOMO: AGENDA YA UFALME Neno ‘Ufalme’ limeandikwa ndani ya Biblia mara 321 na neno ‘Mfalme’ limeandikwa mara 1913. Kwenye Biblia. 🔊Imeandikwa kwa vinywa vya mashaidi wawili au watatu neno linahesabika na ndiomaana Yesu alitengenezewa mashahidi wa uongo ili auwawe, Naboth pia alitengenezwa mashahidi wa uongo. 📝WARUMI 1 Neno la Biblia linapotajwa mara nyingi linakuwa lina uzito uliofichika ndio maana farao aliota ndoto ya masuke na ngombe na hakuelewa maana yake ni nini lakini Mungu alimpa Yusufu uwezo wa kumtafsiria farao ile ndoto na kusema kwavile neno hili limekuja mara mbili maana yake limethibitika/ni halisi. Neno Ufalme na Mfalme limeandikwa mara nyingi kwenye biblia na limethibitika. Yesu alipokuja duniani haja kuhubiri habari ya mafanikio na uponyaji bali alikuja kuhubiri ujumbe wa Ufalme wa Mbinguni. Ukiwa ndani ya Ufalme wa mbinguni hauhitaji kuomba mafanikio yaje bali mafanikio yapo ndani ya Ufalme. Sheria ya Ufalme inasema “...

HOW THE APOSTLES DEAD

Image
HOW THE APOSTLES DIED. 1. Matthew Suffered martyrdom in Ethiopia, Killed by a sword wound. 2. Mark Died in Alexandria, Egypt , after being dragged by Horses through the streets until he was dead. 3. Luke Was hanged in Greece as a result of his tremendous Preaching to the lost. 4. John Faced martyrdom when he was boiled in huge Basin of boiling oil during a wave of persecution In Rome. However, he was miraculously delivered From death. John was then sentenced to the mines on the prison Island of Patmos. He wrote his prophetic Book of Revelation on Patmos . The apostle John was later freed and returned to serve As Bishop of Edessa in modern Turkey . He died as an old man, the only apostle to die peacefully 5. Peter He was crucified upside down on an x-shaped cross. According to church tradition it was because he told his tormentors that he felt unworthy to die In the same way that Jesus Christ had died. 6. James The leader of the church in Jerusalem , was thrown over a hund...

VUNJA VIFUNGO

Image
JINSI YA KUTOKA KWENYE VIFUNGO VYA GIZA Bwana YESU atukuzwe ndugu yangu. Karibu tujifunze Neno la MUNGU. Leo tunajifunza jinsi ya kutoka katika vifungo vya kishetani. Kifungo cha kipepo ni nini? Kifungo cha kipepo ni adhabu ya mtu kuwekwa jela kipepo na mawakala wa shetani. Jela ni mahali wanapowekwa waharifu ili watumikie adhabu. Wako watu wengi tu wanateswa na vifungo vya giza katika maisha yao, wengine wanatamani watoke katika vifungo hivyo lakini imeshindikana maana hawaijui njia sahihi ya kuwatoa katika vifungo.. Jambo la kwanza kabisa nataka kukuambia ni kwamba Bwana YESU alikuja ili kuzivunja na kuziharibu kazi zote za shetani vikiwemo vifungo vya kipepo. 1 Yohana 3:8b ''Kwa kusudi hili Mwana wa MUNGU alidhihirishwa, ili azivunje kazi za Ibilisi. '' Kuna mambo mengi yanaweza yakahitajika ili hadi mtu husika afunguliwe kutoka vifungo vya giza. Kufunguliwa vifungo kunahitaji maombi sahihi, kujitambua, kujielewa, kutii Neno  la MUNGU na kuenenda katika RO...

BILLY GRAHAM AMELALA

Image
BILLY GRAHAM Billy Graham amepumzika akingoja ufufuo. Sijamuona akitumia nguvu kusukuma watu waanguke. Sijamuona akijiita nabii mkuu wa kizazi hiki ambaye matamko yote ya Kiroho yangetoka kwake. Kama alivyomtegemea Yesu alitufundisha kumtegemea Yesu katika kila jambo. Amen. Mungu apumzishe ROHO yake katika usingizi Mwema hadi Yesu atakaporudi. 1 Wakorintho 15:12-26,35-38,42,46,48,51-54 [12]Basi, ikiwa Kristo anahubiriwa ya kwamba amefufuka katika wafu, mbona baadhi yenu husema kwamba hakuna kiyama ya wafu? [13]Lakini kama hakuna kiyama ya wafu, Kristo naye hakufufuka; [14]tena kama Kristo hakufufuka, basi, kuhubiri kwetu ni bure na imani yenu ni bure. [15]Naam, na sisi tumeonekana kuwa mashahidi wa uongo wa Mungu; kwa maana tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo, ambaye hakumfufua, ikiwa wafu hawafufuliwi. [16]Maana kama wafu hawafufuliwi, Kristo naye hakufufuka. [17]Na kama Kristo hakufufuka, imani yenu ni bure; mngalimo katika dhambi zenu. [18]Na hapo wao nao wali...

THE SIN OF PORNOGRAPHY

Image
THE SIN OF PORNOGRAPHY : Porn was not made for entertainment or fun it was made purposely to destroy both the actors and their viewers. It feeds man with lust and makes him desire for more. This is the root cause of masturbation and all abominable sexual act. Ignorant men love to watch it for fun not knowing that they are inviting legions of demons into themselves. It is a great doorway for demonic attacks and manipulations of ones destiny. The entire universe is being control by spirits either of God or of the devil, and if you are not careful, you'll just suddenly run mad. Porn is the root cause why many so called believers keep on falling into the sin of fornication over and over again! Have you asked yourself, the reasons why you are not making progress in life? why others are making it in life, but the case with you is different, why you are always disappointed at the edge of breakthrough or success?... at times in your dreams the more you run, it appears as if an invisible...

MARIAM KILYENYI

Image
            MARIAM KILYENYI                   audio/video https://youtu.be/SMdGbaavX8o                    MSHAURI               Directed by JOJOH                 +255654864922

MAMBO 10, TUNZA MUUJIZA WAKO

Image
Mambo 10 ambayo yatatendeka kwako mwaka huu wa 2018. Imeandikwa:- Zaburi 20:8 “Wao wameinama na kuanguka, Bali sisi tumeinuka na kusimama.” 1. Wote waliopanga mabaya juu yako watashuka chini nawe utachukua sehemu zao. Utachukua sehemu ya mtu aliyekuwa anataka kukushusha chini kwa jina la Yesu. 2. Kuna mashimo umechimbiwa 2017 Mungu atayafukia yote 2018 na hautayaona tena 2018. Kuna mtu alichimba shimo mahali ili utumbukie lakini Mungu amelifukia. 3. Kuna mtego wa mauti uliotegwa 2017 na mtego huo ukafichwa sana ili usiuone lakini 2018 Mungu ameufyatua mtego ule utamnasa aliyekutegea hautafyatuka bure lazima umnase aliyeutega kwa jina la Yesu. Kifo siyo tukio bali ni roho inayoweza ikatumwa kwenda kwa mtu iutoe uhai wake. Kifo kinaweza kutumwa au kinaweza kutegwa mahali. Kwenye maandiko Imeandikwa:- Ufunuo wa Yohana 6:8 “Nikaona, na tazama, farasi wa rangi ya kijivujivu, na yeye aliyempanda jina lake ni Mauti, na Kuzimu akafuatana naye. Nao wakapewa mamlaka juu y...

Dhamiri

Image
Je, Dhamiri Yako Imezoezwa Vizuri? JE, UMEWAHI kusema hivi, “Ninajua moyoni mwangu kwamba jambo hilo si sawa,” au “Siwezi kufanya unachotaka nifanye. Kuna kitu fulani ndani yangu kinachoniambia kwamba jambo hilo si sawa”? Hiyo ni “sauti” ya dhamiri yako, uwezo ulio ndani yako wa kutambua mema na mabaya, ambao unaweza kukutetea au kukushtaki. Naam, tunazaliwa tukiwa na dhamiri. Ingawa mwanadamu amejitenga na Mungu, kwa ujumla bado ana uwezo wa kutofautisha kati ya mema na mabaya. Hiyo ni kwa sababu ameumbwa kwa mfano wa Mungu, hivi kwamba ana uwezo wa kudhihirisha kwa kiwango fulani sifa za kimungu kama vile hekima na uadilifu. (Mwanzo 1:26, 27) Hivyo, Mungu alimwongoza mtume Paulo aandike hivi: “Maana wakati watu wa mataifa wasio na sheria wanapofanya kwa asili mambo ya sheria, watu hawa, ijapokuwa hawana sheria, wao ni sheria kwao wenyewe. Wao ndio wanaoonyesha kuwa yaliyomo katika sheria yameandikwa ndani ya mioyo yao, huku dhamiri yao ikiwa...

DHAMIRI

Image
Swali: "Ni nini maana ya dhamiri?" Jibu: Dhamiri inaelezewa kama sehemu ile ya akili ya binadamu ambayo inasababisha maumivu ya akili na hisia za hatia tunapoikiuka na hisia za raha na ustawi wakati matendo yetu, mawazo na maneno yanapoambatana na mifumo yetu ya thamani. Neno la Kiyunani linalotafsiriwa "dhamiri" katika maandiko yote ya Agano Jipya ni suneidēsis, maana ya "ufahamu wa maadili" au "ufahamu wa maadili." Dhamiri huathirika wakati vitendo vya mtu, mawazo na maneno yanapoambatana, au kuwa kinyume na, kiwango cha haki na kosa. Hakuna neno la Kiebrania katika Agano la Kale sawa na suneidēsis katika Agano Jipya. Ukosefu wa neno la Kiebrania kwa "dhamiri" inaweza kuwa kutokana na mtazamo wa ulimwengu wa Kiyahudi, ambao ulikuwa wa jumula badala ya mtu binafsi. Kiebrania alijiona kama mshiriki wa jumuiya ya agano ambayo ilihusiana na Mungu na sheria zake, badala ya kuwa ya mtu binafsi. Kwa maneno mengine, Muyahudi alikuwa na uja...

NENO R.I.P

Image
JE, NENO R.I.P MBELE YA MUNGU, LINA NGUVU YOYOTE? R. I. P. MANENO MATAMU SANA NA MAZURI SANA YA FARAJA TUNAPOONDOKEWA NA MPENDWA WETU LAKINI JE MBELE ZA MUNGU YANA NGUVU? R. I. P. ni maneno ambayo tunayatumia sana tunapoondokewa na mtu wa karibu sana nasi na ambaye tumeguswa sana na kuondoka kwake. Ni kifupi cha maneno ya Kiingereza, Rest In Peace ambayo yana maanisha kwa kiswahili Pumzika kwa Amani. Na kwa kweli hata mimi ningemtakia kila mtu aondokaye hapa ulimwenguni akapumzike kwa amani huko aendako. Ila je kwa mujibu wa maandiko matakatifu kila mmoja afaye atapumzika kwa amani kweli? Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao. (UFU. 14:13 SUV). Hili andiko linaonyesha wazi kuwa wale wafao katika Bwana ndo wenye uhakika wa kupumzika kwa amani na maandiko yanatuambia wazo kuwa matendo yao yanafuatana nao. Matendo yako, maisha yako uliyoishi hap...

NJIA ZA KUMTIA MOYO MCHUNGAJI WAKO

Image
NJIA ZA KUMTIA MOYO MCHUNGAJI WAKO Uchungaji ni huduma mojawapo kati ya huduma tano zilizoainishwa kwenye biblia. Mchungaji anajukumu la kulitunza, kulilisha na kuliangalia kundi lake ili liweze kustawi na kuwa mbali na adui. Kumtumikia Mungu kama mchungaji ni huduma njema sana na yenye kuheshimika lakini wachungaji wengi wamekuwa katika wakati mgumu kutokana na lawama na kukatishwa tamaa na wale wanaowachunga bila kujali ugumu wa kazi yao na jinsi gani wanajitoa kwa ajili ya makanisa wanayoyachunga. Ni vizuri mshirika ukajifunza njia mbali mbali za kumtia moyo mchungaji wako na kujitahidi kuwa kondoo mwema ili kupunguza kugumu wa kazi kwa mchungaji wako na kumwezesha kuifanya kazi hii kwa furaha bila majuto. Kuna njia nyingi za kufanya hivi ila leo nitaziongelea njia chache ili kukukumbusha pale uliposahau kwa ajili ya ustawi wa kazi ya Mungu. 1. Kuwa Sehemu ya Huduma yake Hudhuria ibada kwa uaminifu na onyesha kuwa upo tayari kufuata uongozi wake. Hii kwanza itabariki maisha yako...

MAOMBI YA KUVUNJA DHAMIRA MBAYA

Image
Pastor Nyalaga Emmanuel MAOMBI YA KUVUNJA DHAMIRA MBAYA : Dhamiri ni kipawa cha binadamu kinachomwezesha kuamua kuhusu uadilifu au uovu wa tendo fulani analolikabili au alilolitenda. Dhamiri hiyohiyo inamsukuma daima kutenda lililo adilifu na kukwepa lililo ovu. Weka oda popote ulipo kitabu hiki kitakufikia na Mungu wa Bw wetu Yesu Kristo Awabariki BREAKING BAD CONSCIENCE PRAYER Conscience is a human gift that enables you to decide about the righteousness or wrongdoing of a certain act that he or she has committed or done. That conscience always impels him to do what is right and to avoid wrongdoing.

Pastor Nyalaga Directory

Image
Step 1 - Know Your Theological Themes Every passage of Scripture will contribute insights to one or more of these 13 key theological themes. Bibliology - The Bible/Scriptures Theology - God the Father Christology - Jesus Christ Pneumatology - Holy Spirit Cosmology - Physical & Spiritual Realms Angelology - Angels Demonology - Satan & Demons Anthropology - Man Hamartiology - Sin Soteriology - Salvation Israelology - Israel Ecclesiology - Church Eschatology - End Times

SYSTEMATIC STUDY OF THE DOCYRINES

Image
Many Christians shy a­way from a systematic­ study of the doctrin­es of the Bible. Afte­r all, just the menti­on of words like Theo­logy, Christology, Pn­eumatology, Anthropol­ogy, Soteriology, Ecc­lesiology, Eschatolog­y and other tongue-tw­isters is enough to s­care anyone away. Sur­ely a simple "what a ­Friend we have in Jes­us" faith is all that­ any believer needs. ­Why get hung up with ­all that heavy doctri­ne anyway? For one ve­ry good reason! Doctr­ine, by definition, i­s what the Bible teac­hes, and knowing what­ the Bible teaches is­ extremely important ­for the growing Chris­tian. To know the Lord Jesu­s as our Savior and F­riend is wonderful, b­ut there is much more­ to learn about our n­ew life in Christ. Go­d wants us to know wh­at He has revealed ab­out such things as th­e Church, and angels...

SOMA BIBLIA

Image
Ili kuponya dhamiri ya ndani jitaidi kusoma biblia