MAOMBI YA KUVUNJA DHAMIRA MBAYA
Pastor Nyalaga Emmanuel
MAOMBI YA KUVUNJA DHAMIRA MBAYA :
Dhamiri ni kipawa cha binadamu kinachomwezesha kuamua kuhusu uadilifu au uovu wa tendo fulani analolikabili au alilolitenda.
Dhamiri hiyohiyo inamsukuma daima kutenda lililo adilifu na kukwepa lililo ovu.
Weka oda popote ulipo kitabu hiki kitakufikia na Mungu wa Bw wetu Yesu Kristo Awabariki
BREAKING BAD CONSCIENCE PRAYER
Conscience is a human gift that enables you to decide about the righteousness or wrongdoing of a certain act that he or she has committed or done.
That conscience always impels him to do what is right and to avoid wrongdoing.
Comments
Post a Comment